Karibu mpenzi msomaji wa mtandao wako wa Petroleum Field ambapo tunajadiliana mambo mbali mbali  yanayohusu  masuala mazima ya mafuta na gesi, leo nimeamua kuwa letea ushauri ambao wewe kama mwanafunzi wa Petroleum Geoscience utakusaidia sana katika safari yako ya huko unapoelekea.

Katika ushauri huu utajifunza mengi ikiwemo ni sifa gani ambazo makampuni ya mafuta na gesi huzihitaji kwa mwanafunzi wa petroleum geoscience ili wamuajiri na hivyo uanze kuchukua hatua maramoja

Kupata ushauri huo bonyeza maandishi haya http://www.anr.state.vt.us/dec/geo/pdfdocs/skillssurvey.pdf

Comment
56 replies

Comments are closed.