GESI ASILIA KUOKOA BILIONI 200 KWA MWAKA
Imeelezwa kuwa Taifa litaokoa takribani Shilingi Bilioni 202 za Kitanzania kwa mwaka endapo mradi wa usambazaji wa gesi asilia katika jiji la Dar es Salaam utatekelezwa. Hayo yalibainishwa hivi karibuni mjini Dodoma katika Mkutano wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CCT), wakati Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha mada iliyohusu rasilimali za […]