Sababu 5 Kwanini Bei Ya Gesi Inapanda Wakati Inapatikana Nchini Na Hatua za Kuchukua Kuokoa Pesa Nyingi Kwa Kununua Gesi
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wakijadili swala la kupanda bei ya gesi ya majumbani Swala hili limepelekea kila mtanzania kuongea kile ambacho anafikiri au anavyojua. Kwa kuwa sekta ya mafuta na gesi asili bado ni changa hapa nchini watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa ambazo sio sahihi kuhusu swala hili, […]